Welcome to Rehema's Official Make-up and Hair Style Blog

Mabibi na Mabwana,
Baada ya muda mrefu kufanya kazi na watu wengi katika tasnia ya Urembo, mimi kama mtaalam wa Makeup na Hair Styling napenda kuwakaribisha kwenye Blog  yangu Rasmi ihusuyo kazi yangu.

Hapa utayapata yote na zaidi ya yote yahusuyo make-up na mitindo mbalimbali ya nywele kulingana na uzoefu yangu nimeweza kuwa na kazi ambazo zinatengeneza "Brand" yangu...

Blog ipo bado katika matengenezo...

0 comments: